Naunga mkono uwakilishi ni lazima ulingane na idadi ya watu. Wanzanzibari mfano haijulikani kwanini wawakilishi wao ni wengi sana wakati wapiga kura ni 500k tu. Lakini kuna majimbo mengi yenye...
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania haya...
Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana.
Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote...
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa...
Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu.
Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.