Wakuu bado hatujafika tunapotaka ila kiukweli kuna hatua tumepiga kwa miaka hii. Haya ni mambo ambayo yalikuwepo ndani tu ya miaka isìyozidi 30.
1. Shule za sekondari zilikuwa chache mno kiasi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hello Guys,
Najua Mobile users wa JF wanamiss vitu ving sana vya uzuri wa JF. Mfano kuweka Rangi katika Maandishi ya Post yako au Thread.
SASA KAMA UNATAKA KUWEKA rangi katika Post yako kuna...
Eti mbunge huyo anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu,niwalevi,na hawasomi.
Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu matumizi watalipiwa na wazazi wao. Sasa...
Pombe ni tamu sana.
Its Tuesday btw
Yani msomi kama mimi nipo ndani ya taarabu and i dont care.
Mtu amualike janabi kwenye pombe siku moja moja. naona ana miss out.
Janabi nipo na students...
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania haya...
Mimi ni kijana wa Umri 25 Yrs
Nipo Dar es Salaam
Natafuta Mke wa kuoa.
Vigezo:
●Awe na CPA(T)au awe Doctor of Medicine(MD) au awe HR🍌
○Umri 24-48😎
●Awe na sexy Chocolate (colour)🥵
○If she's...
Mimi sishabikii upande wowote wa hii vita ila Kwa hali ya kawaida kama kweli huwaungi mkono vijana wa hamas na ni mkazi wa Gaza si unahama kabisa kwanini Mpaka watoe taarifa kwamba muondoke nyie...
Wanakumbi.
🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH
Taarifa Rasmi ya Hamas:
"Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.