Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
  • Poll
Habari wakuu, Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Champions League 2024 na kwa nini?
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya...
55 Reactions
257 Replies
5K Views
Katika vitu ambavyo vinafanya uonekane smart ni kiatu ulichovaa, kama umevaa kiatu kibovu basi hata juu utupie vipi watu watakuona mchafu tu. Naombeni mnitajie raba au kiatu ambacho kinadumu na...
4 Reactions
69 Replies
4K Views
I will be short These are the most useless individual in our football. i believe we could have been better than what we are today. 1. Ligi yetu ina panga matokeo kama ligi ya Kenya. Shame...
4 Reactions
19 Replies
535 Views
Unaweza ukapoteza single mother wa kukusaidia maishani kwa sababu ya uchoyo na ubinafsi na chuki na kiburi.huijui kesho yako wape watu nafasi waishi.unaweza kukuta huyo unayemuona hajazaa amewahi...
5 Reactions
25 Replies
209 Views
mwenye idea na biashala hii anijuze,kwan nataka kuanzisha kiwanda kidogo kitakacho zalisha lita 50-100 kwa siku.Ilia sijui pa kuanzia vifaa,mtaji,mahitaji na upatikanaji wa mashine pia vifungashio
4 Reactions
53 Replies
10K Views
Kama unatumia sana youtube utakuwa umekutana na matangazo ya mikopo mtandao. Mimi sikuwa nayazingatia mpaka yakaanza kuwa ya ajabu ajabu kama hivi; Basi nikaamua kufuatilia kidogo, nikatafuta...
0 Reactions
0 Replies
2 Views
Habari zenu wana jamvi! Leo niko hapa ndugu zangu kwa ajili ya kuomba wenu ushauri ya kipi nifanye ili kuweza kukaa vyema kiuchumi. Kisa changu kinaanzia hapa; Tangu nilipoacha masomo yangu ya...
8 Reactions
37 Replies
448 Views
Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota...
23 Reactions
82 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,380
Posts
49,602,676
Back
Top Bottom