Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia...
Mambo ni moto Prof Kabudi wa Tume ya Wariioba enzi zile na Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe wako meza Kuu Kuongoza Mijadala wa Sheria za Uchaguzi
Mjadala unafanyika Chuo Kikuu Cha DSM...
Afisa afya au mtendaji hivi hii sehem tena mbele ya shule ya msing Lumumba mbele kabisa maji ya choo imekua kero,tena mbele ya ofisi za jiji maji machafu ya choo.tuwasaidie hawa watoto na wapita...
Tuliozaliwa 1978- 1985 tunarange kuanzia miaka 39-46, tumegoma kuzeeka, sijui kama mnafahamu sababu.
Iko hivi, kipindi hicho nchi ilipitia changamoto za kiuchumi, tulikuwa na vita ya iddi Amin...
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
Salaam,shalom,
Mvua kubwa zilizonyesha nchini zimeanza kuleta madhara makubwa Kwa nyumba na makazi ya watu waishio kandokando mwa ziwa Hilo.
Imeripotiwa kuwa, kaya zaidi ya 400 hazina makazi...
Eti mbunge huyo wa Bunda vijijini Boniface Mwita Getere anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu, niwalevi, na hawasomi.
Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.