Hello Guys,
Najua Mobile users wa JF wanamiss vitu ving sana vya uzuri wa JF. Mfano kuweka Rangi katika Maandishi ya Post yako au Thread.
SASA KAMA UNATAKA KUWEKA rangi katika Post yako kuna...
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa...
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama...
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
Mimi ni kijana wa Umri 25 Yrs
Nipo Dar es Salaam
Natafuta Mke wa kuoa.
Vigezo:
●Awe na CPA(T)au awe Doctor of Medicine(MD) au awe HR🍌
○Umri 24-48😎
●Awe na sexy Chocolate (colour)🥵
○If she's...
Kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, Vyama 11 vya Siasa Zanzibar vimelaani vikali kauli hizo ambazo wanadai kuwa ni kauli za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.