Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sidhani kama kuna Mtanzania ambae hajui mazuri ya Magufuli akiwa raisi wa Tanzania, atapinga kwamba Magufuli hakuwa na roho ya uzalendo kwa Tanzania, alichukia ufisadi, alichukia watu ambao...
19 Reactions
189 Replies
3K Views
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
1 Reactions
46 Replies
254 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa Kuwa na Akili Sana . wapo na IQ kubwa. Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA. Hongereni Sana Sijui tungekuwa wapi bila wahaya hongera Sana Max na...
6 Reactions
48 Replies
303 Views
Ukisikiliza kilio cha wazanzibar kuhusu unyanyasaji wanaoupata ndani ya muungano huu usioeleweka, ni kama vile Tanganyika imeikalia Zanzibar kimabavu. Ni ukweli usiopingika kwamba wazanzibar...
7 Reactions
73 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania mambo...
8 Reactions
136 Replies
1K Views
Lengo kuu ukiachana na kujaribu kuiteka Israel October 7 ilikuwa ni kuua watu ndani ya Israel wengi kadri iwezekanavyo, Target zilikuwa ni raia wema wasio na silaha ili kuoata matokeo makubwa...
6 Reactions
56 Replies
867 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri wa Muungano...! Wanaohusika na ukarabati wa barabara ya Kimanga, hasa kipande cha kuanzia Bima hadi Mawenzi wawajibike tafadhali, au mnasubiri mpaka madereva...
1 Reactions
15 Replies
115 Views
Wanakumbi. MAMLAKA ZA ISRAEL WAVAMIA SHEREHE ZA KANISA HUKO YERUSALEMU Matukio ya machafuko leo wakati wa sherehe za kila mwaka za Moto Mtakatifu. Mamlaka iliwakamata maafisa wa usalama wa...
6 Reactions
88 Replies
2K Views
Apartment Kila moja ina; vyumba viwili Choo Sebule Dining jiko store +255678418272 Whatsapp
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,143
Posts
49,595,833
Back
Top Bottom