Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tundu Lissu ameendelea na Mikutano ya Hadhara na leo yupo wilaya ya Mpwapwa ambapo pamoja na mambo mengine amesema tangu atoe hoja zake siku ya Muungano, Aprili 26, 2024, wamekuwepo watu wengi...
11 Reactions
20 Replies
398 Views
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
4 Reactions
153 Replies
2K Views
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
73 Reactions
264 Replies
11K Views
Wakuu nipo dilemma mwenzenu, kuna msichana week jana tu hapa nimekumbana nae mtaani she seemed so hot 🔥, na sikuweza jizuia kuomba namba, tulianza kama urafiki hivi, days went by na bond flani...
4 Reactions
14 Replies
120 Views
Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi. Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko...
1 Reactions
17 Replies
33 Views
Kwa wanao mpinga Lissu watueleze ni kitu gani anachosema cha muungano sio cha kweli? https://www.youtube.com/live/hmLasxyFJQg?si=lLw63NG_Fuxm-byT Kama kuna mtu ambaye sio Mzanzibari hapa ana...
4 Reactions
21 Replies
251 Views
MAKONDA AAINISHA MPANGO KAZI WA VIPENGELE SITA: LETS MAKE ARUSHA GREAT AGAIN! April 8, 2024 Arusha ⦁ Mapokezi yamenitia moyo wa kuwa mtumishi mwema na mtetezi wa wanyonge. Kamwe sitaungana na...
11 Reactions
97 Replies
3K Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC 📆 08.05.2024 🏟 Azam complex 🕖01:00 usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar
8 Reactions
56 Replies
895 Views
  • Suggestion
Naam kilicho bora na imara hujengwa katika misingi iliyo bora na imara Tanzania tunayoitaka iko mikononi kwa wazee ambapo yapaswa kukabidhiwa kwa vijana na watoto, maarifa na ujuzi ni vitu muhimu...
0 Reactions
3 Replies
40 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,306
Posts
49,599,602
Back
Top Bottom