Kiwanja kinauzwa mbweni jkt sqm 1000 …. Bei million 130 . Kiwanja kipo karibu na apartment ya simba sports club .. wakubwa plot nzuri Sanaa ngoma haijai maji wala nini .. kwa mawasiliano nicheki pm
Habari zenu wana jamvi!
Leo niko hapa ndugu zangu kwa ajili ya kuomba wenu ushauri ya kipi nifanye ili kuweza kukaa vyema kiuchumi.
Kisa changu kinaanzia hapa;
Tangu nilipoacha masomo yangu ya...
Habari za jioni wana JF mada ya leo ni sensitive kidogo maana inagusa moja ya topic zenye utata katika ulimwengu wa imani ila ningependa tusome kwa utulivu uzi wote alafu tujadiliane kwa hoja ili...
Tundu Lissu ameendelea na Mikutano ya Hadhara na leo yupo wilaya ya Mpwapwa ambapo pamoja na mambo mengine amesema tangu atoe hoja zake siku ya Muungano, Aprili 26, 2024, wamekuwepo watu wengi...
Wakuu.....
Sina haja ya kuanza na salam, maana nimevurugwa.
Ipo hivi.....
Kwasasa nimehamishiwa Dar kikazi.
Sasa one time nilialikwa na mwanangu Tupa niende kwenye pare ya kutimiza miaka 10 ya...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, leo Tarehe 8 May 2024, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu bado yuko Mikoani akihutubia na kufundisha Wananchi kuhusu sheria mbalimbali za Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.