Aiseeee kuna mambo ambayo yakifanyika mpaka unaogopa, nipo maeneo ya Mbezi na askari wa MP wamewapigisha kwata dereva na konda wake. Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumeshauri wakampime...
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Hii scenario ipoje wakuu ? ( From my close relative family business)
Inatokea mna family business mliachiwa na wazazi muisimamie.
Kaka mwenye nafasi kubwa kwenye maamuzi ana mke ambae kamshika...
Hebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!!
1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu
2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo.
Hoya P.Funk karudi...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, leo Tarehe 8 May 2024, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu bado yuko Mikoani akihutubia na kufundisha Wananchi kuhusu sheria mbalimbali za Tanzania...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC
📆 08.05.2024
🏟 Azam complex
🕖01:00 usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar
mpira umeanza
dakika ya 5
0-0
dakika ya...
Iko hivi,
nina marafiki wa kila aina tofauti tofauti, walevi na wasio walevi..mimi binafsi ni mywaji mzuri tu ila sio wa kubebwa.
Sasa siku kadhaa za nyuma hapo nilipata kachangamoto flani ka...
Hello
Habari ya uzima na poleni kwa majukumu ya hapa pale. Naombeni kujua jambo kuhusu uzazi nk.
Mwanamke akitoka kujifungua kwa operation, baada ya siku arobaini, je, akikutana na mumewe...
Salaam, zingatia swali hapo juu.
Ati jamani yani kwanini?
Kwanini mpaka tuhaidiwe au tutishiwe ndo tuamini, kwahiyo tunafanya kwa kuogopa au kwa kushawishiwa?
Mfano: Utaambiwa kuna kuchomwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.