Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC 📆 08.05.2024 🏟 Azam complex 🕖01:00 usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar mpira umeanza dakika ya 5 0-0 dakika ya...
11 Reactions
134 Replies
2K Views
Habari Wanajukwaa! Niwape pole wagonjwa na wenye kuumwa! Mungu awafanyie wepesi! Kwa wae=le ambao tuko wazma basi tuendelee na kazi. Leo ni siku nyingine njema sana kwangu kupata nafasi ya kuleta...
2 Reactions
21 Replies
546 Views
Nimesoma comment hiyo huko Instagram nikashtuka sana. Haiba ya Paul Makonda inalingana sana na ya Adolf Hitler, fuhrer wa dola la Ujerumani baada ya WWI Kwa mantiki hiyo si ajabu wataalamu wa...
3 Reactions
5 Replies
44 Views
Mm binafsi ni Kuvuta Ganja, kunyonya Mbususu au kula Gambe. Wewe Je?
3 Reactions
39 Replies
66 Views
Niliyojivunia: 1. Nilipata safari ya kikazi mkoani Kagera wilaya ya Ngara. Kwenye lile basi raia wengi walikuwa ni wa Rwanda na Burundi. Wakati nipo kwenye basi, nilishuhudia wale jamaa walikuwa...
3 Reactions
23 Replies
369 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Mzuka wanajamvi! Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain. Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
12 Reactions
132 Replies
2K Views
Inatokea mna family business mliachiwa na wazazi muisimamie. Kaka mwenye nafasi kubwa kwenye maamuzi ana mke ambae kamshika sana masikio. Mwanzoni aliingiza ndugu yake dereva, akaja kumuingiza...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Lengo kuu ukiachana na kujaribu kuiteka Israel October 7 ilikuwa ni kuua watu ndani ya Israel wengi kadri iwezekanavyo, Target zilikuwa ni raia wema wasio na silaha ili kuoata matokeo makubwa...
9 Reactions
70 Replies
1K Views
Natafuta wateja wa bata wa kienyeji Madume 25,000 Majike 20,000 Mbagala charambe ndipo nilipo
1 Reactions
3 Replies
4 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,324
Posts
49,600,315
Back
Top Bottom