Wakubwa habari zenu mimi ni kijana wa 30+ na hivi karibuni natarajia kupata mtoto wa pili, majaliwa ya mwenyezi mungu.
Haya tujikite kwenye mada hapo juu, kwa jamii ninayo ishi nimeshuhudia...
Kama ni Habari ya Tanganyika rip mchungaji Mtikila alipeperusha hadi bendera nyumbani kwake pale Ilala na ilikuwa Kawaida tu
Kama ni Muungano Maalim Seif rip alijitahidi kuuboresha na Shujaa...
Habari zenu wana jamvi!
Leo niko hapa ndugu zangu kwa ajili ya kuomba wenu ushauri ya kipi nifanye ili kuweza kukaa vyema kiuchumi.
Kisa changu kinaanzia hapa;
Tangu nilipoacha masomo yangu ya...
Habari .
Katika harakati zangu, nimejikuta kwa makusudi kabisa natongoza mke wa rafiki yangu ilihali najua wazi kabisa mume wake ni rafiki yangu wa karibu sana na tunaelewana kweli kweli...
Wadau wananchi elf 3000 wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami.Je kwanini serikali...
Wadau nawasabahi.
Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee...
Mimi si msomaji mzuri sana wa Maandiko Matakatifu , lakini ninafahamu kidogo kwamba ndani ya Biblia kuna kisa kilichomhusu Yesu na Petro , inaelezwa kwamba Petro alijaribu kupita Juu ya Maji kama...
Wakuu,
Nyumba thamani yake ni milion 12, vyumba vitatu na kimoja cha nje. Imefanyiwa wiring bado umeme lakini vyote umeme na maji vyote vipo jiran tu nyumba ya pili ni kuvuta tu.
Gari nalotaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.