Ama kwa Hakika huyu Waziri mkuu wa Slovakia anahitaji kupongezwa.
Kwa niaba ya wapenda amani duniani tunakupongeza mno Mr. Robert Fico kwa kukataa maombi ya kifedhuli ya Zelensky na viongozi wa...
Wakuu. Sijui umri unanienda au? Kuna baadhi ya "trend" za magari naona zinazidi kushika kasi. Najua "maybe" ata Automatic transmission zinavyoingia kuna watu waliona jau, ila ishazoeleka sahivi...
MBUNGE NDAKIDEMI AWAKIMBILIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KATIKA KATA ZA MABOGINI NA ARUSHA CHINI.
Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi ametoa pole kwa Wananchi wa Kata za...
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Sheikh wa mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma akiambatana na viongozi wengine wa BAKWATA mkoa wa Arusha leo, Mei 07.2024 ameongoza sala maalum ya kumuombea kheri Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul...
UTANGULIZI:
Mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa udhibiti wa mifumo ya TEHAMA (General Intergrated Control of IT systems) ni mfumo wa pamoja utakaosimamia na kudhibiti matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika...
Mzuka wanajamvi.
Mtawala wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman (MBS) aliahidiwa na mtawala wa Dubai al maktoum atamtunukia binti yake amuoe.
Lakini baada ya mtawala wa Dubai kugongewa mkewe Haya...
Tufike wakati tuseme imetosha sasa.
Jana kwenye kikao cha Bunge nimewanukuu wa Bunge watatu wakililia barabara na wengine kusema, Mheshimiwa Waziri, wananchi tumewafanya kama misukule, hao ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.