Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Chonde chonde CCM Msishupaze shingo. Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka. Kero hizi...
4 Reactions
37 Replies
858 Views
Vita vya uvamaizi vinavyoendelea kufanywa na Urusi dhidi ya Ukraine vimechukua sura ya tofauti kufuatia shirika la ujasusi la Urusi(FSB) kupanga njama za kumuua Zelenskyy kwa kushirikiana na...
2 Reactions
18 Replies
615 Views
Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota...
2 Reactions
14 Replies
518 Views
Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund, commonly known as Borussia Dortmund [boˈʁʊsi̯aː ˈdɔɐ̯tmʊnt],[2] BVB, Full name Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund Nickname(s) Die...
0 Reactions
155 Replies
3K Views
Wananchi wa kijiji cha Ndolezi kilipo kimondo maarufu cha Mbozi wamekuwa wakiishi hapo kabla ya wanasayansi kuthibitisha kuwa jiwe lile ni kimondo, hivyo kulipa jiwe hilo hadhi ya pekee...
14 Reactions
72 Replies
2K Views
Wadau nawasabahi. Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee...
8 Reactions
108 Replies
2K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Sheekhaal-tribe ongezea wakwako
4 Reactions
5 Replies
88 Views
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa...
3 Reactions
97 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,045
Posts
49,593,702
Back
Top Bottom