Mzuka wanajamvi!
Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain.
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
Huo Ndio Ukweli wa Jumanne hii
Moja ya Imani Kuu ya CCM ambayo mwanachama hujiapiza nayo mbele ya Mungu wa mbinguni ni Kuulinda Muungano wa Tanzania
CCM ni Tunda la TANU na ASP zilipoungana Ndio...
Full name: Manchester United Football Club
Nickname(s): The Red Devils
Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.
League: Premier League
Website: ManUtd.com...
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.
2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.
3. Wanaccm wanalalamikia...
Mazee! Hata uwe na pesa kiasi gani, kuoa mwanamke aliyekuzidi urefu i mean urefu wa kimo pamoja na elimu lazima akusumbue na utaibiwa sana.
Hii ishu kubwa sana kwenye ndoa ni wanawake wachache...
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
Tanzania ni nchi yetu sote hatuna taifa jingine zaidi ya Mama Tanzania. Tukiwa kama watanzania wenye uchungu na taifa letu hatuna budi kulilinda dhidi ya maadui au chokochoko za aina zote.
Kauli...
Katika CCM ya sasa watu pekee ambao naweza kusema wana maarifa na uwezo wa kuweza kujibu hoja nzito za wapinzani na Watanzania ni Makamu Mwenyekiti wa chama Ndug. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.