Wadau nawasabahi.
Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee...
Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu
Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni
Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana...
Nmenyoosha mkono juu wana jf wenzangu naombeni mnielekeze sehem au taasisi yoyote unayoijua yenye nafasi nipeleke barua zangu walau nipate kazi.ichagui kazi sichagui mshahara.
Naombeni msaada...
Sheikh wa mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma akiambatana na viongozi wengine wa BAKWATA mkoa wa Arusha leo, Mei 07.2024 ameongoza sala maalum ya kumuombea kheri Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul...
Wakuu. Sijui umri unanienda au? Kuna baadhi ya "trend" za magari naona zinazidi kushika kasi. Najua "maybe" ata Automatic transmission zinavyoingia kuna watu waliona jau, ila ishazoeleka sahivi...
Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie.
Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi.
Ukweli ni...
My Take
Naunga mkono hoja,walishwe chakula Moja kwa.moja kama Vyuo vya Ualimu,Shule za Sekondari au wajitegemee.
https://www.instagram.com/reel/C6rDl25CTFw/?igsh=ZDk5Y203OTQ5d3Zo
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema kinachotafsiriwa kuwa ni uchawa kwa sasa miongoni mwa makada wa chama hicho, ni njia mojawapo ya wananchi...
Siku kama nne nyuma niliota nipo napita njia ambayo kiuhalisia naijua hiyo njia lakini sikuwahi kuipita, yaani unaiona njia inaelekea huko ila sijajua inaishia wapi nasjawah kujishughulisha kisha...
-Habari za kazi viongozi, nisiwachoshe niende moja kwa moja katika swali langu.
-Nimekuwa msikilizaji wa nyimbo za kibongo hasa kizazi kipya. nilijipa mda kusikiliza nyimbo zilizotengenezwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.