Habar za wakati huu wanaJF?
Binafsi nimekuwa nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni, nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua...
Nimejaribu kuangalia mechi ya Simba na Namungo kule Ruangwa ambako nilikwenda kushuhudia live mtanange huo, nikaangalia Simba vs Mtibwa na jana Simba vs Tabora naona wachezaji wanaotumika ni wa...
Habari wakuu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye mahusiano na hawa dada zetu lakini baada ya muda nakuja kugundua kuwa huyo mtu niliyenaye kwenye mahusiano...
Hivi kumbe hii michirizi ya sehemu za makwapani, tumboni, mapajani, nyuma ya magoti n.k huwapata hata wanaume pia? nilidhani ni kwa wanawake tu.
Ni vizuri kushirikishana namna ya kuzizuia...
Mzuka wanajamvi.
Mtawala wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman (MBS) aliahidiwa na mtawala wa Dubai al maktoum atamtunukia binti yake amuoe.
Lakini baada ya mtawala wa Dubai kugongewa mkewe Haya...
Wajameni eeh,
Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania.
Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e...
Habari wanajamii mnakumbuka nilileta changamoto yangu amkusita kunishauri vyema Na sasa ule ushaur mlionipa umezaa Matunda nawashukuru kwakila mmojawapo Kwa kusoma story yangu nakutia chochote...
Rafiki yangu mpendwa,
Kwenye safari ya kujenga utajiri, watu huwa wanashangaza sana.
Wengi wanapokuwa na miaka 20 na 30 huwa wanaona ni mapema sana kwao kuhangaika na kujenga utajiri. Hivyo...
Nachokisema Nina uzoefu nacho sana nataka ujue ukweli kwanini mtu anafikia hatua anakunywa pombe kila siku na mtu wa hivyo usimdharau jua anakumbwa sana na changamoto ya kukosa usingizi usiku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.