Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe. Imefika pahala kila kona...
11 Reactions
98 Replies
1K Views
Hebu tumsikilize hapo akiwa Zanzibar Mheshimiwa Lissu, ni dhahiri anaipenda Zanzibar ijitambue na kupata uhuru wake wa kweli badala ya kukubali kutawaliwa na Tanganyika (Dodoma) na kuveshwa...
2 Reactions
15 Replies
312 Views
Habar za wakati huu wanaJF? Binafsi nimekuwa nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni, nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua...
2 Reactions
53 Replies
927 Views
Nimejaribu kuangalia mechi ya Simba na Namungo kule Ruangwa ambako nilikwenda kushuhudia live mtanange huo, nikaangalia Simba vs Mtibwa na jana Simba vs Tabora naona wachezaji wanaotumika ni wa...
0 Reactions
3 Replies
153 Views
Habari wakuu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye mahusiano na hawa dada zetu lakini baada ya muda nakuja kugundua kuwa huyo mtu niliyenaye kwenye mahusiano...
0 Reactions
2 Replies
47 Views
Hivi kumbe hii michirizi ya sehemu za makwapani, tumboni, mapajani, nyuma ya magoti n.k huwapata hata wanaume pia? nilidhani ni kwa wanawake tu. Ni vizuri kushirikishana namna ya kuzizuia...
2 Reactions
22 Replies
290 Views
Naomba wajuzi mniambie, kuna jamaa wanasema nichukue IST kwa ajiri ya kupata uzoefu wa magari kwanza
7 Reactions
45 Replies
29K Views
Mzuka wanajamvi. Mtawala wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman (MBS) aliahidiwa na mtawala wa Dubai al maktoum atamtunukia binti yake amuoe. Lakini baada ya mtawala wa Dubai kugongewa mkewe Haya...
16 Reactions
126 Replies
6K Views
Wajameni eeh, Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania. Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e...
36 Reactions
2K Replies
563K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,951
Posts
49,590,148
Back
Top Bottom