Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie. Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi. Ukweli ni...
6 Reactions
62 Replies
384 Views
Tokea saa 12 hatuna umeme kwenu jee Kwenu umeme upo? Kuanzia Mbezi, Kibamba, Goba hadi Ubungo na maeneo mengi hayana umeme Hili shirika daaah
0 Reactions
11 Replies
48 Views
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa...
2 Reactions
39 Replies
549 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
Huyu rafiki tulipoteana kwa muda mrefu kidogo. Tulianza fahamiana chuo. Tukamaliza tukaja kutana tena mkoa flani kazini, tukaendelea kuwa marafiki. Baadaye tukatengana tena. Tukaja kutana tena...
1 Reactions
2 Replies
13 Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
27 Reactions
329 Replies
6K Views
Wadau nawasabahi. Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee...
3 Reactions
66 Replies
1K Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
15M Views
Eti ni maziwa gani yanakupa ladha murua kati ya haya mawili?
5 Reactions
33 Replies
380 Views
Naandika kwa mara ya nne. TAMISEMI kushirikiana na Wizara ya Afya nchini Tanzania walipata ufadhili na World Bank (WB) kuajiri watumishi wa afya ajira mkataba wa miaka mitatu. Wamejitahidi...
2 Reactions
44 Replies
618 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,005
Posts
49,591,974
Back
Top Bottom