Wakuu habari za Jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically .
Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew
Wanzaa kwa mpango
Wapo logically
Wapo na mental well being.
Be blessed , Golden generation.
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
HAPPY BIRTHDAY TO ME. KWA KHERI UJANA. SASA NI MUDA WA BUSARA ZA KIUTU UZIMA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Namshukuru Mungu. Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Nikiwa nimetimiza...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema kinachotafsiriwa kuwa ni uchawa kwa sasa miongoni mwa makada wa chama hicho, ni njia mojawapo ya wananchi...
Leo Mei 6, 2024, JamiiForums (JF) imetembelewa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael A. Battle, kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi, ambapo amepitishwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.