Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni jambo zuri kuwa na ongezeko la vyombo vya habari ila kuongezeka kuna takiwa kuwe na utofauti sana ili ukiangalia au kusiliza unajua kilichokupeleka. Wasafi Tv na FM bado wanashida kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hivi karibuni Mhe. Lissu alisema kuwa kunapesa zimemwagwa kwenye uchaguzi wa viongozi wa Chadema, ili kumjibu Lissu kuhusu tuhuma smbazo CCM imeshindwa kuzijibu imeamua kugeuza kibao ili Lissu...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Kuna mambo kama Wazazi huwa tunafanya kwa watoto bila kujua kama vinawaharibu na kuwashushia kujiamini au kuondoa ujasiri wao katika maisha yao yote. Mambo Matano yanayochangia Kuharibu Ujasiri...
1 Reactions
8 Replies
162 Views
Hizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao. Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi...
16 Reactions
41 Replies
1K Views
Nawasalimu wote wana jukwaa, Moja kwa moja kwenye hoja. Nakusudia kuanzisha ufugaji wa Ng’ombe, Mbuzi na Kuku. Naomba kwa wenye uzoefu mnipe maoni yenu, hususani juu ya: 1. Mikoa sahihi kwa...
7 Reactions
96 Replies
6K Views
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa. Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
25 Reactions
493 Replies
5K Views
Kwanza Kabisa Pascal Mayalla amekiri kwamba yeye ni Mkatoliki aliyetukuka Pili Father Kitima amekiri kufuatilia JF kila siku akipendelea zaidi Jukwaa la Siasa na lile la Elimu Father Kitima...
16 Reactions
87 Replies
2K Views
Hivi kumbe hii michirizi ya sehemu za makwapani, tumboni, mapajani, nyuma ya magoti n.k huwapata hata wanaume pia? nilidhani ni kwa wanawake tu. Ni vizuri kushirikishana namna ya kuzizuia...
2 Reactions
18 Replies
256 Views
Star wa nyimbo za gospel Christina Shusho dada anaonekana mtamu huyu sijui yule jamaa ake alifeli wapi.
8 Reactions
100 Replies
3K Views
HAPPY BIRTHDAY TO ME. KWA KHERI UJANA. SASA NI MUDA WA BUSARA ZA KIUTU UZIMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Namshukuru Mungu. Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Nikiwa nimetimiza...
33 Reactions
177 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,939
Posts
49,589,966
Back
Top Bottom