Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mzuka wanajamvi. Mtawala wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman (MBS) aliahidiwa na mtawala wa Dubai al maktoum atamtunukia binti yake amuoe. Lakini baada ya mtawala wa Dubai kugongewa mkewe Haya...
15 Reactions
124 Replies
6K Views
Katika hali ya kutoikubali 4R Mods wa JF waendeleza u anaji wa taarifa.
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Ukisikiliza kilio cha wazanzibar kuhusu unyanyasaji wanaoupata ndani ya muungano huu usioeleweka, ni kama vile Tanganyika imeikalia Zanzibar kimabavu. Ni ukweli usiopingika kwamba wazanzibar...
6 Reactions
51 Replies
738 Views
Nachokisema Nina uzoefu nacho sana nataka ujue ukweli kwanini mtu anafikia hatua anakunywa pombe kila siku na mtu wa hivyo usimdharau jua anakumbwa sana na changamoto ya kukosa usingizi usiku...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe. Imefika pahala kila kona...
8 Reactions
94 Replies
1K Views
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale. Barabara hii imejengwa chini ya viwango. Na tukumbuke waziri aliyehusika...
13 Reactions
108 Replies
2K Views
Tujikumbushe kidogo Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani? na ulikuwa unalipenda au ulipendi
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Huwa najiuliza ingekuwaje tungepata uhuru mwaka 1919 baada ya Mjerumani kushindwa vita vya kwanza vya duni 1914 hadi 1918. Kumbuka tungekuwa nchi moja na Rwanda na Burundi. Je, tungetumia lugha...
2 Reactions
16 Replies
164 Views
Naomba wajuzi mniambie, kuna jamaa wanasema nichukue IST kwa ajiri ya kupata uzoefu wa magari kwanza
7 Reactions
44 Replies
29K Views
Kuna ule.muda unakaa peke yako unasema najuta kufanya ngono na yule demu natamani muda urudi nyuma ili lisitokee. Kwa mimi ni Aneth mshenzi alinipa gono na uti sugu Nilikuwa nalia kama mtoto...
1 Reactions
4 Replies
137 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,947
Posts
49,590,090
Back
Top Bottom