Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukiwa member wa makundi ya Whassap, ya kifamilia, ukoo, mliosoma wote primary, O-Level, High School, Chuo, Kazini, Mtaani Kuna mzigo mzito sana wa michango ya rambirambi inakungoja. Kila kundi...
7 Reactions
35 Replies
833 Views
kutokana na majukumu yalio njr ya uwezo wangu nawatakia kila la kheri na mwezi may natumaiini admnnhatoni 🔥 kwa hii post majukumu kwanza menginr baadaee cya
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo : Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia Upatikanaji wa chakula Urahisi wa Usafiri Elimu Hali ya Hewa Huduma za maji Mitandao ya simu Usalama...
16 Reactions
137 Replies
4K Views
1. Mchaga akioa au kuolewa na Mpare, Muha au Mmasai... 2. Msukuma akioa Mbulu/Mrangi/Mnyaturu/Mmeru/Mchaga au Muiraki... 3. Mhehe akioa au kuolewa na Mbena, Mnyamwezi, Mngoni... 4. Mdigo akioa...
0 Reactions
3 Replies
38 Views
Habari Nahitaji eneo lenye ukubwa wa Ekari 3 kuendelea hata 5 au 6 sio mbaya kwaajiri ya kukodi na kama tutaelewana naweza kubaliana kufanya manunuzi. Nataka liwe maeneo ya kuanzia kibaha hadi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nchi haitaki watu wenye akili kubwa kuliko watoto wa viongozi wakuu wa nchi. Viongozi waandamizi wanatamani wangezaa watoto kama John Pambalu lakini bahati haikuwa yao. Wao wamebahati kuzaa watoto...
8 Reactions
54 Replies
1K Views
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa...
1 Reactions
17 Replies
236 Views
Wadau nawasabahi. Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee...
3 Reactions
46 Replies
706 Views
Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao. Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel...
1 Reactions
64 Replies
2K Views
Uongozi wa Simba SC tafadhali mpeni mazima Timu Kocha Mgunda na Mshahara mnono atatufikisha mbali sana Ok?
2 Reactions
21 Replies
526 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,999
Posts
49,591,704
Back
Top Bottom