Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
925 Reactions
1M Replies
40M Views
Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao...
2 Reactions
27 Replies
697 Views
Gaza kumekucha huko wananchi wanazurura mitaani wakiimba na kumshukuru Mungu baada ya Hamas kukubali masharti ya Israel muda huu. Kwakweli Mungu ni mwema anajibu wamekufa wengi sana na sasa...
4 Reactions
69 Replies
1K Views
BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI, KUHAKIKISHA BARABARA YA DAR - LINDI INAPITIKA NDANI YA SAA 72. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ni hivi hapa ADA TADEA, CCK , NLD, Demokrasia Makini, NCCR- MAGEUZI, TLP, UPDP, SAU , UMD, NRA ACT CUF na Chama cha DP.
12 Reactions
51 Replies
805 Views
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi...
2 Reactions
31 Replies
424 Views
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo : Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia Upatikanaji wa chakula Urahisi wa Usafiri Elimu Hali ya Hewa Huduma za maji Mitandao ya simu Usalama...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
80 Reactions
500 Replies
18K Views
Mpaka Sasa Rais hajateua mwenyekiti wa TSC tangu mwaka jana mwezi wa saba 2023 hakuna Aliyethibitishwa kazini kutokana na ukosefu wa mwenyekiti. Mashauri ya kinidhamu ngazi ya wilaya yamekuwa...
1 Reactions
3 Replies
71 Views
Hiki chombo ni mhimili muhum sana katika serikali. Tukianza na Serikali haina shida Mahakama haina tatizo Shida ipo bunge 1. Chombo kinachotumia pesa nyingi bila tija. 2. Wahuni hujikusanya...
5 Reactions
13 Replies
243 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,785
Posts
49,584,839
Back
Top Bottom