All the Best Mnyama 🦁
Updates za Mchezo wa Leo..
Kikosi cha Simba Kinachoanza.
Updates...
Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo.
Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora
DK 5'...
Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha...
Habari zenu wakuu, natumaini mko poa.
Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi?
Kama linafanya kazi stakeholder na...
Mpaka sasa Elie Mpanzu Kibisawala (striker) ana asilimia nyingi za kutua Yanga.
Philip Kinzumbi (winga) ameshawekewa ofa ila Raja nao wameweka ofa mezani.
Mpaka sasa kila kitu kipo kwenye...
Kwema jamani
Vyuma vimekaza natamani nipate hata hiyo tenda ya kuandikisha daftari la wapga kura. Ishu ni kwamba cheti cha form four nilipoteza. Je, hakuna namna naweza kupata hii dili...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Kuna muda ukipata hela wenzako unaofanyanao kazi kama wanajua umepata hela ni bora kuweka Airplane mode kuepuka Mizinga 😃, simu zitaingia Kama zote, utasikia Mkuu mbona kimya unaniachaje!
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
Wakuu vipi,
Niliona Tangazo la kazi kupitia careerjet, la Curator, basi nkaomba maana application Yao ilikuwa so simple.
Hii kazi inaitaji uwe na laptop na bandle, unalipwa $0.15 per each link...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.