Hii maana yake ni kwamba, Kila jambo litakaloanzishwa na Chadema ndilo litakalojadiliwa, Chama kimekuwa na nguvu ya Ushawishi ya kutisha kwa sasa.
Huu ndio muda wa kusukuma mbele Ajenda za Katiba...
MBUNGE BAHATI NDINGO, Mbunge wa Jimbo la Mbarali Akichangia Bajeti ya Wizara ya Kilimo ya Shilingi Trilioni 1.2 Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025
"Natoa pongezi za dhati kwa Wizara ya Kilimo kwa kazi...
Tumemsikia Kinana akisema uchaguzi sio tume, na kwamba hoja ya wapinzani kulilia tume huru haina mashiko. Kama Kinana na CCM wanaamini hivyo, embu wajaribu kuwapa fursa wapinzani kipindi hiki...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao...
Gaza kumekucha huko wananchi wanazurura mitaani wakiimba na kumshukuru Mungu baada ya Hamas kukubali masharti ya Israel muda huu.
Kwakweli Mungu ni mwema anajibu wamekufa wengi sana na sasa...
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.