Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuuuu mambo vipi Leo nawaleteaa SSD pamoja na RAM bei kitonga kabisaaa Karibu tukuhudumieee Karibu sana Tunatuma mikoani kwa uaminifu
0 Reactions
5 Replies
76 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Wakuu kwema?kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nimesikia Mahali kwa juu juu kuwa eti upareni Kuna mzee wa Mila ambaye kupitia maombi maalumu kwa mizimu yake anauwezo wa kutatua changamoto kama...
8 Reactions
208 Replies
8K Views
"University of Southern California Muslim students are praying Jumma (Friday prayer) and non-muslim students made a wall, surrounding them for their safety. How beautiful Scene!"
6 Reactions
45 Replies
869 Views
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu. Kuanzia...
46 Reactions
203 Replies
5K Views
Aliyesema kilimo ni uti wa mgongo au kale kamsemo ka mhenga kuwa kama mnataka mali mtayapata shambani aje Zanzibar. Hata ule msemo wa kwenye bible kuwa asiyefanya kazi asile aje Unguja atengue...
19 Reactions
72 Replies
2K Views
Star wa nyimbo za gospel Christina Shusho dada anaonekana mtamu huyu sijui yule jamaa ake alifeli wapi.
7 Reactions
88 Replies
2K Views
https://youtu.be/86vSal-Mwkc?si=QMUDUEam0cbA4C44 My Take Tuhitimishe au tuendelee kuwasubiri wengine?
11 Reactions
43 Replies
957 Views
Hiki chombo ni mhimili muhum sana katika serikali. Tukianza na Serikali haina shida Mahakama haina tatizo Shida ipo bunge 1. Chombo kinachotumia pesa nyingi bila tija. 2. Wahuni hujikusanya...
5 Reactions
14 Replies
274 Views
Kuna mtu namjua na kumfahamu vilivyo, ni kijana msomi ana elimu nzuri ila kawa chawa, Kila timu inapokwenda kucheza na yeye huenda, ni miongoni mwa wale vijana wa kibegi cha makombe na kapu la...
7 Reactions
19 Replies
529 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,787
Posts
49,584,902
Back
Top Bottom