Habarini wadau....
Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Coca cola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa....Ina maana wakati wa package hii kitu...
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
1.hakikisha una mmudu
hakuna kitu kinacho mvutia mwanamke/kinacho mshawishi mwanamke kuamua kuolewa au kuishi na mwanaume zaidi ya tendo la ndoa
Yale Mambo ya vyakula sjui out nyingi magari...
Salaam wakuu,
Mimi nasumbuliwa na masikio yote mawili yanauma sana kama vile mtu anasukumiza matambara huko ndani, yakianza kuuma hivyo nasikia na kichwa kinaniuma na ninahisi kizunguzungu kwa...
Source: Kitini cha sheria
UTANGULIZI
Hapo nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu utu wa Watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na...
Nilishawahi kuwaonyeni wana CCM hapa hapa JamiiForums kuwa huyu Mtu ( Mtani wangu kutoka Singida ) Tundu Lissu Genius akiwa anatoa Makombora yake Kwenu ambayo ni mazito na yanahitaji Akili Kubwa...
Kitambulisho cha taifa(Nida) Ni moja ya kipande kinachomtambulisha mtanzania au raia wa taifa lolote. Hapa tanzania kumekuwa na changamoto kwenye upatikanaji wake, serikali katika hili ilichelewa...
Hiki kitendo anachonifanyia baby mama wangu sielewi kbsa
Mara nyingi unakuta amepost na kuwa wish birthday na kuwapongeza kwa mafanikio mbalimbali wanao fikia hao jamaa ,hata wanaomaliza masoma...
wadau mnaopenda kutumia technology mimi ni mpenzi sana wa Technology. Nlikuwa na VR moja mwaka 2019 akaja mtu akaomba na amekuwa mgumu kurudisha nimeona tu nitafute nyingine.
Ile ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.