I will be short
These are the most useless individual in our football. i believe we could have been better than what we are today.
1. Ligi yetu ina panga matokeo kama ligi ya Kenya. Shame...
Gaza kumekucha huko wananchi wanazurura mitaani wakiimba na kumshukuru Mungu baada ya Hamas kukubali masharti ya Israel muda huu.
Kwakweli Mungu ni mwema anajibu wamekufa wengi sana na sasa...
Hii ndo habari mpasuko kwa wale jamaa zetu wa Houth kutoka Yemen baada ya kufanikiwa kwa zaidi ya 100% kufunga bahari nyekundu (red sea) kwa meli kuelekea Israel sasa wamekuja na operation mpya...
Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana.
Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote...
Wanajamii forum nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano. Naomba anaejua app inayoconvert docment iliyopigwa kama picha au pdf kuipeleka kwenye word. Ambayo ni ya bure hailipiwi
Karibu kwenye ukulasa wa Dovillen Property.
Kwa mahitaji ya kuuza au kununua nyumba, viwanja,yard, maeneo ya kujenga petrol station nk
POSTA,UPANGA, MASAKI, MSASANI, MIKOCHENI, MBEZI BEACH...
Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu
Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni
Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana...
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.