Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana.
Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote...
Hiki kitendo anachonifanyia baby mama wangu sielewi kbsa
Mara nyingi unakuta amepost na kuwa wish birthday na kuwapongeza kwa mafanikio mbalimbali wanao fikia hao jamaa ,hata wanaomaliza masoma...
Naunga mkono hoja ya Mbunge wa Chadema aliyo itoa leo Mei 6 wakati akouliza swali Bungeni. Kuwa Watuhumiwa wa makosa ya Ubakaji wasipewe dhamana.
Kwalweli watuhumiw wa ubakaji hawana tofauti na...
Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana Kwa sababu ya kuwepo Kwa mahusiano ya karibu na ya kihistoria baina ya nchi hizi mbili katika nyanja mbalimbali kama vile undugu wa damu biashara...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wadau kuna tetesi nimezisikia kuwa Mh. James Mbatia aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kambwaga Mh. Joseph Selasini Mahakamani katika Kesi aliyofungua Mbatia ya Kumdhalilisha.
Katika Kesi hiyo...
Mara kadhaa Chadema wamekuwa wanawadanganya watu wasioelewa kwamba eti Katiba Mpya ndio muarobaini wa Rushwa na Ufisadi licha ya kina Bob Wine kuwapa somo kwamba jambo Hilo linategemea uadilifu wa...
Wanakumbi.
🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH
Taarifa Rasmi ya Hamas:
"Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.