Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Habari zenu ndugu, jamaa na marafiki!! Naitwa Enock, napatikana Mbezi Mwisho (Mbezi ya Kimara), mimi ni fundi wa kutengeneza samani zote za ndani (furniture) kama vile makabati, sofa, vitanda na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Katika Miaka ya 2000 Raia wengi kutoka Jamhuri ya Dominika walikuwa wanakimbia nchi yao kuelekea katika nchi ya marekani na Puerto Rico kwa ajili ya kutafuta maisha mazuri. Kwahiyo haikuwa jambo...
1 Reactions
2 Replies
162 Views
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe. Imefika pahala kila kona...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Match Day NBC Premier League Mashujaa Vs Yanga Lake Tanganyika Stadium Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Mashujaa kutoka Kigoma itacheza na wageni wao timu ya Yanga kutoka Dar katika mechi ya...
14 Reactions
176 Replies
6K Views
Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
13 Reactions
125 Replies
4K Views
Kuna ukweli tunatotakiwa kuufafanua na kama ni kero irekebishwe kama kweli tunafikiri muungano huu ni wa muhimu. 1. Wazanzibar wengi sana wanamiliki ardhi na majengo bara, kama raia. ila Wabara...
4 Reactions
20 Replies
232 Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
68K Views
1. Vita Gaza vinapaswa kukoma. "Enough is enough!" 2. Hilo ni lililotakwa la dunia, kutokea UN huko; mataifa: moja moja; mashirika ya kimataifa, mashirika ya misaada ya kiutu, nk. 3. Kuna azimio...
1 Reactions
13 Replies
198 Views
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
32 Reactions
116 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,629
Posts
49,580,162
Members
668,073
Latest member
Bruno Nemes
Back
Top Bottom