BETTING KUUA TAIFA LA KESHO
Michezo ya kubahatisha maarufu kama 'kubet' ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Ukiacha aina mbalimbali za michezo hiyo zilizokuwepo kwa miaka mingi na katika maeneo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana.
Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege...
Tangu utaratibu wa ushuru wa maegesho uondolewe TARURA na kupelekwa katika halmashauri umegeuka kuwa wizi wa wazi wa serikali dhidi ya wananchi wake.
Mawakala wa halmashauri wanaohusika na...
Katika MAISHA ikiwa umetokea familia masikini unaweza kuwa na haya mawazo au fikra hizi.
Pesa au mali za urithi zinaweza kukufanya na wewe kuwa na mali.
Ni rahisi Sana kuzaliwa ukiwa mtoto wa...
"Ukiona Wewe ni Kiongozi halafu Kutwa unasifiwa na Watu wa Magharibi ( Wazungu ) na siyo na Watu wako wa nchini Kwako jua una matatizo na kuna shida mahala" Kalonzo Musyoka.
Chanzo: Citizen TV...
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.