Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao...
Gaza kumekucha huko wananchi wanazurura mitaani wakiimba na kumshukuru Mungu baada ya Hamas kukubali masharti ya Israel muda huu.
Kwakweli Mungu ni mwema anajibu wamekufa wengi sana na sasa...
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi...
BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI, KUHAKIKISHA BARABARA YA DAR - LINDI INAPITIKA NDANI YA SAA 72.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na...
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.