Ukiangalia kwa makini watu wenye asili ya kigoma ni kwamba utagundua kuwa ni so innovative, brilliant, akili kubwa na ndo wana run tanzania hii.
Mfano.
Ali kiba
Diamond platnumz
Haji manara...
Mwalimu Nyerere alituasa kuwa makini sana na wanasiasa wanaoutumia dini , kabila na rangi katika kutafuta uongozi. Wanasiasa waliokosa hoja hukimbilia mambo hayo ili kuwahadaa wananchi.
Tundu...
Niseme ukweli hawa ndio mawaziri wanaopaswa kuwa ofisini. Sio wale wa kuhudhuria mikutano na upigaji.
Natamani kuona hata nafasi za uwaziri ziwe ni through competitive interview, cream’Tanzania...
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka.
Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel...
Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae enzi tunasoma mwaka 2008 kipindi hicho nipo kidato cha tatu yeye kidato cha...
Wakuu habari za jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya...
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.