Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulikuwa na wafalme kama hawa 1.. Joseph Mbilinyi SUGu, Mr II, 2proud, Taita 2. Professor J 3. JUMA Nature 4. Inspector Haroun 5. Ferouz 6. Mr. Nice 7. Mr. Blue 8. Mangwea 9. Afande Selle 10. 20...
2 Reactions
34 Replies
491 Views
Wakuu habari za jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wakuu.... Hizo features zipo kwenye Subaru forester huwa zinanichanganya kujua Zinatumika wakati gani.. Sport mode naijua vizuri maana hata kwenye Rumion yangu naitumia, ila kwenye Subaru...
2 Reactions
12 Replies
168 Views
Niseme ukweli hawa ndio mawaziri wanaopaswa kuwa ofisini. Sio wale wa kuhudhuria mikutano na upigaji. Natamani kuona hata nafasi za uwaziri ziwe ni through competitive interview, cream’Tanzania...
5 Reactions
29 Replies
634 Views
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi. Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela...
4 Reactions
132 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme. Airtel SME. Tigo postpaid Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa...
170 Reactions
9K Replies
1M Views
Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi Nikaona ni vema...
9 Reactions
173 Replies
3K Views
Habari wananchi kwa majina naitwa SADIKI JAFU ABDALA Napatikana Mkoa wa MTWARA wilaya ya NEWALA Natoa mafunzo ya umeme wa majumbai kwa vijana kuanzia miaka 10-17 kwa umri huo Amna malipo kuanzia...
0 Reactions
1 Replies
13 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,437
Posts
49,574,392
Members
667,961
Latest member
Nyamilama Jr
Back
Top Bottom