Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hii 👇 ni tukio la Leo
📍Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamojana Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. SaidiYakubu...
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.
Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.
Unajiuliza nini hiki sasa.
Sio mbaya kujaribu pengine...
Ni yule aliyekuwa zezeta wa Mercy once again.
Ilikuwa mwaka 2016 kuna dem flan wa kitusi walikuwa wamehamia kijijini kwetu wakitokea huko walikotoka.
Sasa bahna huyo Binti ni mrefu mwembamba...
Kuba (dome) katika misikiti
Chanzo chake si Uislamu na wala si alama za Uislamu, ni muigo.Wakatoliki na wa Ordhodoksi waliweka Kuba kwenye majengo yao ya ibada kabla ya Uislamu kuwepo. Mfano...
Twede kwenye hoja moja kwa moja wakuu wa afya Kama mpo naomba mnipe elimu ya kina. Mara kadhaa nimekua nikisoma makala tofauti tofauti kuhusu afya kwa upande wa jinsia za kike sijabahatika kuona...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Nape Nauye waziri wa Habari na Mawasiliano amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti yaliyohitajika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.