Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Zilikuja Mafia kuvua boti za fery Dar mpaka sasa bila bila huku watu wa fery poleni.
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Taarifa mpya inaonyesha kwamba, Baada ya Maandamano ya Wiki nzima ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za uchaguzi, yaliyoandaliwa na Chadema kwenye baadhi ya maeneo kufanikiwa kwa 100%...
4 Reactions
21 Replies
204 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
27 Reactions
168 Replies
3K Views
Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile Je siku akitokea...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Godbless Lema ameandika ukurasani X Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo...
2 Reactions
9 Replies
134 Views
Leo kanisani nilikuwa na Kigogo mmoja wa UVCCM mkoa wa Pwani ambapo alinipa ABC za vita yao na mwanamitandao Mange Kimambi. Jamaa ameniambia mwaka huu lazima mwadada huyo aombe msamaha rais na...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Watu wengi wamekua wakijiuliza kwa nini siku hizi night clubs zinakufa sana, mfano Maison na nyinginezo hapa Tanzania. Ukweli ni kwamba night Clubs Dunia nzima zinakufa kwa sababu kizazi Z ambao...
1 Reactions
5 Replies
6 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,389
Posts
49,572,396
Members
667,903
Latest member
kipscalich
Back
Top Bottom