Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
Njoo agiza chochote unachokitaka kutaka Japan au South Africa Tuna agaiza bidhaa mbalimbali kwamuda mrefu kwauaminifu sana.Kupita kwenye platforms zetu mtu yoyote aliko Japan au South Africa...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Wanabodi
Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu...
Makubaliano ya kusitisha vita huko Gaza baada ya miezi sita ya mapigano makali yamekuwa magumu kufikiwa baina ya Hamas na Israel.
Hata hivyo kutokana na kuelemewa kwa Marekani na Israel na...
Habari ndgu zangu niliumia mazoezini December 2022 goti likavimba baadae nikaenda hospital nikafanya vipimo kama x ray,MRI ya goti ikabainika nimepata impacted Trabecular fracture on medial tibia...
Baada yakupandwa hasira na kuamua kuondoka nchini hivi karibuni na kurudi kwako, Habari za hivi punde ni kwamba yule kiungo mwenye mwendo wa bibi harusi, mwendo wa pole kama mdudu aina ya konokono...
JE UNAJUA??
Mashariki mwa nchi ya Siberia wanaume wanabadilishana wake zao ili kuepuka mambo ya imani ya kishirikina??
Kwa imani yao wanaamini Ukifanya hivyo una mchanganya mtu mwenye nia ya...
Alizaliwa akiwa mzima wa afya na mwenye viungo vilivyotimia
Kazi yake ilikuwa ni dereva wa malori......mwaka 1971 alipata ajali mbaya sana ya gari hali iliyompelekea kupata ukipofu na ukiziwi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.