Ni Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa...
Wakuu nina degree ya Accounting and Finance nipo Arusha jinsia ni mwanaume kukaa home kunachosha. Kama kuna mtu ana sehemu anataka hata mtu wa kumbebea mafile Arusha mimi nipo.
Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani.
Posho yake ni 70,000/= kwa mwezi.
Awe anajitambua.
Tuwasiliane inbox 📥
Tukio hili lilitokea November 17, lakini limeibuliwa jana 4/5/2024 kama tukio jipya. Je, walioibua tukio hili na kusema ni ya karibuni walikuwa na nia gani?
=====
Katibu wa baraza la vijana wa...
Habari ndio hiyo ni kweli ccm imechokwa ,Tena imechokwa lakini watanzania hawaoni mbadala wa ccm ! Wapinzani ndio wamechokwa zaidi hakuna mfano ! Wao wenyewe pia wamejichoka ! Uchaguzi ujao ni...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Zitto Kabwe amepost logo ya ACT-Wazalendo na kuandia ushairi huu;
"Huzuni imenijaa
Machoji yamejaa
Moyoni kumepwaa
Kukuacha hatimaye
"Mlongo umenifaa
Umekuwa...
Huwa unamfuta mwenzako au mkishamaliza kila mtu atajijua.
Hujui kumfuta mwenzako ni kitu kizuri, unaishika unaingeuza huku na huku ukimfuta akiwa ametandaza miguu yake au amenyoosha miguu yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.