Kitendo cha mkuu wa nchi kukimbia sherehe za mei mosi eti kwa sababu kikokotoo NI mwiba kwa wafanyakazi ajue kuwa hapo hajatibu chochote / ccm katika zama hizi isiamini kushinda uchaguzi mkuu kwa...
Kwa mujibu wa data kutoka Tume ya Madini na Wizara ya Madini zilizowasilishwa Bungeni 2024 zimeonesha kwamba Soko la Madini ya Dhahabu la Chunya-Mbeya limechangia mabilioni kwenye Mapato ya Nchi...
Inaonekana kwasasa jamii yetu na ya Dunia kwa ujumla ina struggle katika kujua sifa za asili za mwanamke kwa kuzingatia misingi ya mahitaji ya kijinsia.
Tokea kuumbwa kwa ulimwengu viumbe...
Habari wana JF wote kwa ujumla, bila ya kupoteza muda naomba kuja kwenye mada husika. Mimi ni kijana wa miaka 35,ndoa yanagu mpaka sasa inamiaka 5 tuu. Katika kipindi chote hichi tumeishi kwa...
Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
Vigogo wa Klabu ya simbasctanzania wameweka jina la Florent Ibenge kama mrithi sahihi wa kocha aliye ondoka ndani ya timu Yao Abdelhak Benchika.
Ibenge mshindi wa CAF Confederation Cup na mwana...
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu.
Kuanzia...
Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar)...
Siikatai kuwa kuna Askari Polisi wasio waadilifu! Karibia kila taaluma kuna watu wasiozingatia maadili ya kazi/taaluma zao
Kule nchini Marekani, Polisi mmoja alibaini kuwa leseni ya udereva wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.