Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Dah eti "kila mtu ana mshahara wake tusipelekeshane" ujinga sana huu wakuu. Sina mengi.
1 Reactions
13 Replies
14 Views
Hizi mbinu ninazo wapa haimaanishi kwamba mimi binafsi nimezitumia au nilishawahi kuzitumia ila hii inatokana na uzoefu wangu mdogo humu jamvini Kwakuwa wanawake wanapenda mambo mazuri basi...
13 Reactions
96 Replies
794 Views
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
8 Reactions
214 Replies
5K Views
wakuu hali siyo powa, hivi ni kweli humu hakuna mtu anamhitaji mfanyakazi wa kumpa 3000 kwa siku nina Degree ya Accounting and Finance nipo Arusha ila ikiwa hiyo kazi ya 3000 ipo Arusha itapendeza...
14 Reactions
38 Replies
995 Views
Kawaida ya Waajiriwa wengi, kuweka Akiba, Saving account kwenye benki zetu, kwaajili ya usalama. Account hizo kuna ledger fee unalipa, huingizi chochote. Nikushauri, wekeza kwenye masoko ya Hisa...
8 Reactions
28 Replies
418 Views
Haya chagua jibu moja tu sahihi je, unadhani kwa 100% Matatizo ya Simba SC yanamhusu nani hasa kati ya wafuatao? a. Kocha Mihasira Benchika b. Tajiri Mwekezaji Muongo Muongo c. Mwana Yanga SC...
1 Reactions
13 Replies
215 Views
Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Makubaliano ya kusitisha vita huko Gaza baada ya miezi sita ya mapigano makali yamekuwa magumu kufikiwa baina ya Hamas na Israel. Hata hivyo kutokana na kuelemewa kwa Marekani na Israel na...
3 Reactions
4 Replies
97 Views
Serikali ya Israel imetoa offer ya Ajira 100000 kwa wananchi wa Malawi. Waziri wa uchumi wa Israel amezungumza hayo kwa maafisa wa Serikali ya Malawi Nafasi za Ajira zipo za kumwaga mashambani...
3 Reactions
26 Replies
967 Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
139 Reactions
155K Replies
8M Views

FORUM STATS

Threads
1,851,148
Posts
49,565,976
Members
667,814
Latest member
mambatz
Back
Top Bottom