Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

wakuu nina degree ya Accounting and Finance nipo Arusha jinsia ni mwanaume kukaa home kunachosha kama kuna mtu ana sehemu anataka hata mtu wa kumbebea mafile Arusha mimi nipo
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi Nikaona ni vema...
8 Reactions
160 Replies
3K Views
Tusitegemee mafuta kushuka, bunge la bajeti ni bunge la kuongeza kodi, Tutegemee kuongezeka kwa kodi , huku bei za mafuta kupanda, sasa mwezi huu wa saba, na mwakani mwezi wa saba mafuta yatafika...
5 Reactions
10 Replies
58 Views
Majibu na Maombi ya Ukaazi wa Kudumu katika Nchi ya Marekani: US Green Card | Diversity Visa Lottery | United States of America. 2024 na kuendelea! Leo 4th May 2024 saa moja usiku, kwa saa za...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hali sio hali nchi hususani kwenye uchumi wa nchi na mauzo na manunuzi. Ghalama ya bidhaa iko juu sana, vyakula na bidhaa nyingine iko juu kupindukia. Ukienda kila kona ya nchi hali ni mbaya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
7 Reactions
195 Replies
4K Views
Anayeuza hiyo gari contact karibu dm. SERIOUS
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Pafukapo moshi ujue kuna moto, Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti. Kikao...
8 Reactions
88 Replies
3K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Wakuu nawaheshimu sana kwa kuwa kanuni mojawapo ya ubinadamu sahihi ni kuheshimu usiemjua mpaka utakapomjuwa: Mimi ni miongoni mwao wafuatliaji wa muziki wa aina tofauti duniani, kama POP na SOUL...
5 Reactions
105 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,117
Posts
49,565,081
Members
667,801
Latest member
ZouhAlly
Back
Top Bottom