Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mzuka wanajamvi! Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain. Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
10 Reactions
111 Replies
2K Views
Uzee dawa, Uzee hekima. Maneno ya Rais Museven kwenye mkutani wa viongozi wakuu barani Afrika kuhusu maendeleo. Msikilize mwenyewe kwenye hiyo video hapo chini. Bigup sana Museven.
1 Reactions
15 Replies
327 Views
Nimeajiriwa ngazi ya chini Serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa. Mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo. Nina mawazo kuacha kazi...
26 Reactions
147 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili, Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa...
2 Reactions
24 Replies
313 Views
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana. Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege...
21 Reactions
106 Replies
3K Views
Ngoja niwahabarishe mambo kadhaa usiyo yajua katika ujenzi. 1.Jengo/Nyumba siyo lazima liwe na msingi. Unabisha....? Nenda Msasani makangira(Namanga), Kuna nyumba kadhaa hazina msingi. 2.Unyevu...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Mziki ni ibada. Asilimia 99 kinachofanyika mbinguni ni mziki na kuimba. Asilimia kubwa ya kinachofanyika kwenye ikulu ya ibirisi ni nyimbo na miziki. Kila mziki unaroho nyuma yake. Wanaweza kuwa...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Wakuu habari za jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
9 Reactions
81 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,561
Posts
49,578,310
Members
668,030
Latest member
Jofrey Julius M
Back
Top Bottom