Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote Sijui kuna agenda...
13 Reactions
100 Replies
2K Views
LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili, Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa...
0 Reactions
7 Replies
126 Views
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
7 Reactions
130 Replies
2K Views
Wasalaam Wengi wanaaminishwa uhalisia wa majini/mapepo na ushirikina kuliko Malaika. Yaani unakuta mtu analala, kwa machale na wenge akitegemea muda wowote kukabwa, Kukwidwa kubininywa au kufinywa...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza. Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira. Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
24 Reactions
352 Replies
4K Views
Wakuu,, Nataka nikatie Bima familia lakini sijaajiliwa. Gharama zikoje? Shi ngap kuchangia kila mwezi
0 Reactions
2 Replies
57 Views
Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC. SOLUHISHO ya vita ile ni...
11 Reactions
219 Replies
6K Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
958 Replies
24K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,543
Posts
49,578,038
Members
668,027
Latest member
otienolucas
Back
Top Bottom