Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi. Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
21 Reactions
267 Replies
6K Views
Wakuu baada ya kupiga kambi Mtwara na Newala nimevutiwa sana na ustaarabu, uungwana na ukarimu wa watu wa kusini mwa Tanzania. Sasa ninaandika kitabu kuhusu maisha ya watu wa kusini mwa Tanzania...
9 Reactions
109 Replies
3K Views
1. Yale ya Makonda na ile TV pendwa ya pande za kwetu yametimba Al Jazeera Israel: 2. Kwamba pasipo na kusubiria kitu Al Jazeera wafunge virago? 3. Kwamba wale wachumba kumbe wamekuwa nao...
0 Reactions
19 Replies
505 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
51 Reactions
264 Replies
8K Views
Nilipokuwa mtoto kuna wakati nilikuwa naona wazazi hasa baba kama wamezidisha unoko ila kwa sasa ndo nimekuja kuelewa nilikuwa najengwa kuwa mtu bora. Haya hapa makatazo ambayo nilidhani ni ya...
6 Reactions
32 Replies
361 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Habari zenu wakuu, natumaini mko poa. Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi? Kama linafanya kazi stakeholder na...
6 Reactions
52 Replies
761 Views
Watch Clouds 360 Degrees Live , January Makamba yuko Live. January Makamba, akiongea, anaonekana yuko very intelligent upstairs kwa sababu anaonyesha ana think kabla ya kuongea. Kuna baadhi ya...
27 Reactions
322 Replies
35K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,481
Posts
49,576,331
Members
667,972
Latest member
Gift Estomy Petro
Back
Top Bottom