Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Hello morning 🌞! Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira. Lakini utafiti wangu wa...
11 Reactions
82 Replies
1K Views
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka. Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel...
6 Reactions
38 Replies
613 Views
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500, Wali ule unaouzwa 2000 maeneo mengine hapa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kama ni mfatiliaji mzuri wa hip hop, nadhani Utakuwa umesha Iona hii. Ila Kama bado, story Ina anzia Mwaka Jana ambapo drake na j Cole wali toa ngoma Ina itwa first person shooter. Humo ndani j...
6 Reactions
116 Replies
3K Views
KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la Mh. Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa. Zitto Kabwe amekubaliana...
2 Reactions
57 Replies
865 Views
17 February 2023 Mzee John Cheyo - Hili la vyama vinavyojiita Chama Tawala na Chama Kikubwa kuteka agenda za nchi halikubaliki Mwenyekiti wa chama cha UDP Mh. John Cheyo alalamika siasa...
12 Reactions
95 Replies
5K Views
Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao...
1 Reactions
9 Replies
346 Views
Godbless Lema ameandika ukurasani X Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee ==== Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu...
6 Reactions
79 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,566
Posts
49,578,570
Members
668,043
Latest member
Frank_1
Back
Top Bottom