Mamlaka ya hali ya hewa imetutadhalisha juu ya janga la kimbunga hidaya kinachowasili hapa nchini hivi karibu
Binafsi sielewi ni tahadhari zipi nichukue
1. Tusisogelee maeneo ya bahari?
2.Tusiwe...
Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia
Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi
Nikaona ni vema...
Leo mnamo tarehe 3/5/2024 ni siku amabayo uchaguzi wa chuo kikuu ardhi ulipaswa kufanyika kulingana na almanac ya chuo na taarifa hio wamafunzi wote walikua nayo na wagombea walijipanga kwa ajili...
Habari
Pasipo kupoteza muda,
Hii elimu huwezi kuambiwa popote darasani, lakini kutokana na kazi zangu za kiufundi mimi Fundi SAMICO nimejifunza mambo mengi mno kuhusu hii dunia. Wakati dunia...
Wanaume wenzagu tuweni makini sana na hawa viumbe.
Huko kwenye viwanja vya starehe kunatisha, wanawake wanakunywa pombe kali, wanavuta bangi, sigara, shisha nk,
Hapohapo kuna wale wa mitaani...
Arusha imebarikiwa sana katika maliasili, mazingira na hali ya hewa. Bahati mbaya INA WATU WASHAMBA SANA.
Nimewaona hata hawa vijana wanaojiita wadudu nikajisemea tu kuwa hiki ni kielelezo...
Njia ya kuingia kutoka G/mboto kwenda ulingoni kwa Gari ni njia moja tu ambayo hiyo ndo inategemewa na magari makubwa na daladala za kwenda kinyerezi, mbezi.Hii barabara mbovu sana na imekua hivo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.