Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
43 Reactions
283 Replies
5K Views
Mamlaka ya hali ya hewa imetutadhalisha juu ya janga la kimbunga hidaya kinachowasili hapa nchini hivi karibu Binafsi sielewi ni tahadhari zipi nichukue 1. Tusisogelee maeneo ya bahari? 2.Tusiwe...
2 Reactions
3 Replies
29 Views
Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi Nikaona ni vema...
0 Reactions
20 Replies
59 Views
Leo mnamo tarehe 3/5/2024 ni siku amabayo uchaguzi wa chuo kikuu ardhi ulipaswa kufanyika kulingana na almanac ya chuo na taarifa hio wamafunzi wote walikua nayo na wagombea walijipanga kwa ajili...
0 Reactions
7 Replies
100 Views
Habari Pasipo kupoteza muda, Hii elimu huwezi kuambiwa popote darasani, lakini kutokana na kazi zangu za kiufundi mimi Fundi SAMICO nimejifunza mambo mengi mno kuhusu hii dunia. Wakati dunia...
24 Reactions
92 Replies
6K Views
Wanaume wenzagu tuweni makini sana na hawa viumbe. Huko kwenye viwanja vya starehe kunatisha, wanawake wanakunywa pombe kali, wanavuta bangi, sigara, shisha nk, Hapohapo kuna wale wa mitaani...
2 Reactions
6 Replies
37 Views
Arusha imebarikiwa sana katika maliasili, mazingira na hali ya hewa. Bahati mbaya INA WATU WASHAMBA SANA. Nimewaona hata hawa vijana wanaojiita wadudu nikajisemea tu kuwa hiki ni kielelezo...
16 Reactions
83 Replies
2K Views
Njia ya kuingia kutoka G/mboto kwenda ulingoni kwa Gari ni njia moja tu ambayo hiyo ndo inategemewa na magari makubwa na daladala za kwenda kinyerezi, mbezi.Hii barabara mbovu sana na imekua hivo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,844
Posts
49,556,996
Members
667,672
Latest member
Rozy2022
Back
Top Bottom