Salama kitu gani?
Nimetoka kibaruani nimejichokea, hapa ndani ya mji mdogo wa Himo mara bila kutegemea naparamiwa na msichana ananililia, anaomba aokolewe mpenzi wake amelewa anampiga na marungu...
Habari za majukumu ndugu zangu,Nina mtoto wa kiume miaka 4 Sasa lakini haongei ni kupiga makelele tu ana dalili hizi hapa chini
1. Ukimuita jina lake hageuki
2. Anapiga makelele tu
3.kuna wakati...
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee.
Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu...
Nipo kwenye mahusiano na mlimbwende mmoja (mchepuko); ambaye ameamua kuwa na mimi pale mama watoto anapokuwa mbali nami kijiografia.
Nimekuwa nampa shoo za ukweli mara kwa mara, na hii...
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
Moja kwa moja kwenye mada…
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
Kila mtu wangu wa karibu aliyefanikiwa kupelekwa polisi Kigoto maeneo ya Kirumba alirudi na kusimulia upendo uliopita kiasi ndani ya jeshi la polisi nchini.
Inasemekana ndani ya selo za Kigoto...
Hawa ni Askari Polisi wa Tanzania wakimhoji binti wa Nigeria mwendesha pikipiki. Ametokea Uganda na ameeleza kuwa angeenda kupumzika/ kulala Kibondo.
Japo Kizungu cha "makamanda" wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.