Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wengi hufikiri na kudhania kwamba hii hutokana na kamwagiwa ndani katika kipindi cha Ujauzito. ONDOA HOFU, hali hiyo Kitaalamu hujulikana kama “Vernix Caseosa” ambao ni utando mweupe unaomzunguka...
1 Reactions
1 Replies
13 Views
Habari wanajamvi.. Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu. Kwa...
6 Reactions
95 Replies
2K Views
Ajali hiyo inaonesha kutokea katika barabara kuu ambapo dereva akiwa na abiria wake walipata ajali na kupelekea pikipiki kuwaka moto, abiria akiwa pembeni huku wasamaria wema wakijaribu kumnasua...
10 Reactions
145 Replies
4K Views
Nilikuwa nasoma Uzi wa furtunatus boyombe kuhusu idadi kubwa ya wahamiaji ,haramu ambao wako serekaliNi kwa idad kubwa wote Wana akili kubwa kubwa mno Mfno wengi unaawakuta wako BOT UDSM SUA...
0 Reactions
5 Replies
17 Views
Wakuu habari zenu, naulizia wapi nitapata kiatu hiki na bei mwenye kujua tafadhali duka na location. Nb.Nipo Dar Es Salaam.
1 Reactions
20 Replies
627 Views
Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya habari, Afrika Mashariki. Nchi hiyo imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa mwaka 2023 hadi 97 mwaka huu, kulingana na...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kazi kuu ya Viongozi wa dini ni kuchunga kondoo wa Mungu, iwe Makanisani au Misikitini ama kwingineko. Sasa hili la kupewa vibali vya kuagiza sukari kutoka nje ya Nchi ni jambo jipya, na je...
3 Reactions
6 Replies
37 Views
Moja kwa moja kwenye mada… Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe.. Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
33 Reactions
176 Replies
2K Views
Kama Yanga inahitaji kufika anga za nusu au fainali basi iachane na hawa wachezaji ambao hawana special thing to offer. Afrika kuna players wazuri sana na wenye uwezo aina ya kina Aziz Ki, Yanga...
7 Reactions
23 Replies
709 Views
Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi Nikaona ni vema...
4 Reactions
74 Replies
953 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,881
Posts
49,558,164
Members
667,686
Latest member
Shagihelo
Back
Top Bottom