Moja kwa moja kwenye mada…
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
Wakuu nawaheshimu sana kwa kuwa kanuni mojawapo ya ubinadamu sahihi ni kuheshimu usiemjua mpaka utakapomjuwa:
Mimi ni miongoni mwao wafuatliaji wa muziki wa aina tofauti duniani, kama POP na SOUL...
Akiwa mkoani Iringa katika mkutano wa hadhara Lissu amesema hajui ilikuwaje CHADEMA ikamualika mama kwenye mkutano wa CHADEMA maana huwa hawaji wenyewe ni mpaka waalikwe.
Aidha Lissu...
Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa...
Habarini wana jamvi. Natumai mko pouwa kabisah.
Kama heading inavyojieleza, hivi ni jambo gani ambalo mpenzi wake alilifanya siri ili wewe usilijue lakini kwa bahati mbaya ukalifahamu, kwa njia...
Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia
Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi
Nikaona ni vema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.